10th November 2023
Karibu kwenye makala yetu ya Kiswahili kwa wanafunzi wa Kidato cha Tisa. Tunatumai mmesikia mambo mazuri kutoka kwa lugha yetu tamu ya Kiswahili. Leo, tutawaletea habari kuhusu masomo yetu mapya kwenye maduka.
Muda wa masomo ya "madukani" ulikuwa wa kusisimua sana! Wanafunzi walipata fursa ya kujifunza maneno na misamiati inayohusiana na kununua na kuuza. Tulifanya mazoezi mengi ya kucheza majukumu, tukitumia maneno kama vile: Pesa, bidhaa, baki, shilingi na dola, kununua au kuuza.
Wanafunzi walijifunza pia kuhusu jinsi ya kuzungumza kuhusu bei (ghali au bei rahisi), faida na hasara katika biashara. Kwa mfano, walifahamu jinsi ya kusema kitu ni ghali au bei rahisi, na pia jinsi ya kuelezea faida au hasara wanapofanya biashara.
Welcome to our Kiswahili news desk. We hope you have heard good things about our Kiswahili lessons. Today, we will bring you news about our recent sessions on the topic ‘at the shops’ with the Year 9 students.
The lessons have been exciting! Students had the opportunity to learn words and vocabulary related to buying and selling. We did role-playing exercises, using words like money, goods, balance, shilling and the dollar, to buy or sell.
Students also learned to bargain and discuss prices (expensive or cheap) as well as profit and loss in business.
Ms Simon
Kiswahili Teacher